SlideShare a Scribd company logo
1 of 11
HABARI ZA KICHUNGUZI
Na
Fred Kihwele
Afisa Mawasiliano na Habari
Mradi wa Maji Matone
Daraja Development LTD
www.daraja.org
8 Nov. 2010
Dondoo
• Utangulizi
• Maana ya habari za kichunguzi
• Kwa nini Habari za kichunguzi
• Nani ahusishwe
• Nini Mategemeo ya jamii
• Nini kifanyike
• Kitoa uchovu
• Hitimisho
• Mwisho
Utangulizi
“Asasi za kiraia pamoja na vyombo
vya habari vinayonafasi kubwa na
ya muhimu katika kuimarisha
demokrasia huru na utawala bora
katika kila nchi duniani kwa
maendeleo endelevu”
Benjamin Mkapa
Maana ya habari za kichunguzi
• Ni habari zilizo fanyiwa utafiti wa kina juu ya
mambo mbalimbali yanayofanyika katika jamii
kila siku kwa ajili ya matakwa na faida ya jamii
kwa ujumla.
• Pia ni habari zilizohakikiwa kwa kina na kuwa
na ukweli halisi katika jamii husika.
• Utafiti huu humfanya mwanahabari afanye
uchunguzi wa kina ndani ya jamii husika kwa
lengo la kufichua na kuifahamisha jamii juu ya
mambo mbali mbali.
Kwanini habari za kichunguzi
• Jamii inajukumu la kupata ukweli wa matatizo
yanayowazunguka kupitia tafiti mbalimbali
zitakazo ibua mijadala yenye manufaa kwa
jamii na maendeleo ya jamii husika.
• Pia ni lazima kuwe na habari za kichunguzi kwa
kuwa jamii inahitaji kutambua mambo
mbalimbali yaliyofichika ili kuleta changamoto.
Nani ahusishwe
• Asasi za kiraia
• Vyombo vya habari
• Wanaharakati
• Wanahabari
• Wananchi
Nini Mategemeo ya jamii
• Kupata taarifa za uhakika zitakazo hamasisha
ushiriki wao katika harakati za maendeleo.
• Kuwafanya wawe na uthubutu wa kuhoji na
kuchanganua mijadala na sera
zitakazowahamasisha kuleta maendeleo.
• Kuelimika kwa kupitia habari zinazoibua
changamoto mpya za kupamabana na
umaskini.
• Kuhamasika na kuhakikisha inatambua wajibu
wake.
Nini kifanyike
• Kupitia vyombo vya habari jamii itambue haki
yake ya ushiriki katika kuleta maendeleo.
• Kuibua mijadala mbalimbali itakayompa nafasi
mwananchi kupata ufahamu juu ya sera.
• Kuhakikisha mambo mbalimbali yaliyofichika
yanaibuliwa ikiwa ni pamoja na tatizo kubwa la
uhaba wa maji.
• Kuhamasisha utendaji bora na ule unaomjali
mwananchi wa kijijini kutoka kwa watendazi
wa serikali za mitaa.
• Kutokomeza kila dalilli ya ufisadi katika
huduma ya maji vijijini.
Kitoa uchovu
Ni jinsi gani waweza kupata mada kwa
ajili ya habari ya kiuchunguzi?
• Fahamu lengo la uchunguzi
• Fahamu matarajio yako
• Fahamu vyanzo vya habari
• Andaa maswali ya mwanzo na mengine
huendelea kadri uendeleavyo
• Anza mahojinao na vyanzo vya habari na
kukusanya viambatanisho kama vipo.
• Rudia tena lengo lako na kuanza kuandaa kazi
ishio
Hitimisho
• Habari za kichunguzi ni muhimu katika jamii kwa kuwa ni njia
ambayo inaweza kuleta mabadiliko chanya kwa jamii.
• Kutokuwa na habari za kichunguzi, jamii haiwezi kutambua
mambo mbalimbali yaliyofichika kitu ambacho kinapelekea
jamii kutotambua wajibu wake.
• Asasi za kiraia na jamii kwa ujumla itatambua wajibu wake
iwapo kutakuwa na habari za uchunguzi. Tuimarishe na
kuhamasisha habari za uchunguzi ili kuleta mabadiliko na
maendeleo katika jamii.
Mwisho

More Related Content

Viewers also liked

Tugas akhir kelompok network advance
Tugas akhir kelompok network advanceTugas akhir kelompok network advance
Tugas akhir kelompok network advanceKurniabudi Zaimar
 
Hello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carrHello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carrlizzycarr
 
Recovery password pada switch
Recovery password pada switchRecovery password pada switch
Recovery password pada switchKurniabudi Zaimar
 
Hello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carrHello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carrlizzycarr
 
선라이즈 사례
선라이즈 사례선라이즈 사례
선라이즈 사례wjdghkangel
 
올해 버디 작품
올해 버디 작품올해 버디 작품
올해 버디 작품wjdghkangel
 
Daraja: Raising the water pressure
Daraja: Raising the water pressureDaraja: Raising the water pressure
Daraja: Raising the water pressuredarajatz
 
Sheria za maji media workshop 2010
Sheria za maji   media workshop 2010Sheria za maji   media workshop 2010
Sheria za maji media workshop 2010darajatz
 
Daraja - on the Maji Matone programme
Daraja - on the Maji Matone programmeDaraja - on the Maji Matone programme
Daraja - on the Maji Matone programmedarajatz
 

Viewers also liked (9)

Tugas akhir kelompok network advance
Tugas akhir kelompok network advanceTugas akhir kelompok network advance
Tugas akhir kelompok network advance
 
Hello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carrHello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carr
 
Recovery password pada switch
Recovery password pada switchRecovery password pada switch
Recovery password pada switch
 
Hello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carrHello my name is lizzy carr
Hello my name is lizzy carr
 
선라이즈 사례
선라이즈 사례선라이즈 사례
선라이즈 사례
 
올해 버디 작품
올해 버디 작품올해 버디 작품
올해 버디 작품
 
Daraja: Raising the water pressure
Daraja: Raising the water pressureDaraja: Raising the water pressure
Daraja: Raising the water pressure
 
Sheria za maji media workshop 2010
Sheria za maji   media workshop 2010Sheria za maji   media workshop 2010
Sheria za maji media workshop 2010
 
Daraja - on the Maji Matone programme
Daraja - on the Maji Matone programmeDaraja - on the Maji Matone programme
Daraja - on the Maji Matone programme
 

Investigative Journalism ideas

  • 1. HABARI ZA KICHUNGUZI Na Fred Kihwele Afisa Mawasiliano na Habari Mradi wa Maji Matone Daraja Development LTD www.daraja.org 8 Nov. 2010
  • 2. Dondoo • Utangulizi • Maana ya habari za kichunguzi • Kwa nini Habari za kichunguzi • Nani ahusishwe • Nini Mategemeo ya jamii • Nini kifanyike • Kitoa uchovu • Hitimisho • Mwisho
  • 3. Utangulizi “Asasi za kiraia pamoja na vyombo vya habari vinayonafasi kubwa na ya muhimu katika kuimarisha demokrasia huru na utawala bora katika kila nchi duniani kwa maendeleo endelevu” Benjamin Mkapa
  • 4. Maana ya habari za kichunguzi • Ni habari zilizo fanyiwa utafiti wa kina juu ya mambo mbalimbali yanayofanyika katika jamii kila siku kwa ajili ya matakwa na faida ya jamii kwa ujumla. • Pia ni habari zilizohakikiwa kwa kina na kuwa na ukweli halisi katika jamii husika. • Utafiti huu humfanya mwanahabari afanye uchunguzi wa kina ndani ya jamii husika kwa lengo la kufichua na kuifahamisha jamii juu ya mambo mbali mbali.
  • 5. Kwanini habari za kichunguzi • Jamii inajukumu la kupata ukweli wa matatizo yanayowazunguka kupitia tafiti mbalimbali zitakazo ibua mijadala yenye manufaa kwa jamii na maendeleo ya jamii husika. • Pia ni lazima kuwe na habari za kichunguzi kwa kuwa jamii inahitaji kutambua mambo mbalimbali yaliyofichika ili kuleta changamoto.
  • 6. Nani ahusishwe • Asasi za kiraia • Vyombo vya habari • Wanaharakati • Wanahabari • Wananchi
  • 7. Nini Mategemeo ya jamii • Kupata taarifa za uhakika zitakazo hamasisha ushiriki wao katika harakati za maendeleo. • Kuwafanya wawe na uthubutu wa kuhoji na kuchanganua mijadala na sera zitakazowahamasisha kuleta maendeleo. • Kuelimika kwa kupitia habari zinazoibua changamoto mpya za kupamabana na umaskini. • Kuhamasika na kuhakikisha inatambua wajibu wake.
  • 8. Nini kifanyike • Kupitia vyombo vya habari jamii itambue haki yake ya ushiriki katika kuleta maendeleo. • Kuibua mijadala mbalimbali itakayompa nafasi mwananchi kupata ufahamu juu ya sera. • Kuhakikisha mambo mbalimbali yaliyofichika yanaibuliwa ikiwa ni pamoja na tatizo kubwa la uhaba wa maji. • Kuhamasisha utendaji bora na ule unaomjali mwananchi wa kijijini kutoka kwa watendazi wa serikali za mitaa. • Kutokomeza kila dalilli ya ufisadi katika huduma ya maji vijijini.
  • 9. Kitoa uchovu Ni jinsi gani waweza kupata mada kwa ajili ya habari ya kiuchunguzi? • Fahamu lengo la uchunguzi • Fahamu matarajio yako • Fahamu vyanzo vya habari • Andaa maswali ya mwanzo na mengine huendelea kadri uendeleavyo • Anza mahojinao na vyanzo vya habari na kukusanya viambatanisho kama vipo. • Rudia tena lengo lako na kuanza kuandaa kazi ishio
  • 10. Hitimisho • Habari za kichunguzi ni muhimu katika jamii kwa kuwa ni njia ambayo inaweza kuleta mabadiliko chanya kwa jamii. • Kutokuwa na habari za kichunguzi, jamii haiwezi kutambua mambo mbalimbali yaliyofichika kitu ambacho kinapelekea jamii kutotambua wajibu wake. • Asasi za kiraia na jamii kwa ujumla itatambua wajibu wake iwapo kutakuwa na habari za uchunguzi. Tuimarishe na kuhamasisha habari za uchunguzi ili kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii.