The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
Pspf 2014 presentation kassim hussein
1. > > > > > > > >
Utawala Bora wa Mifuko ya
Hifadhi, Yahusuyo Ukuaji na
Uelekeo wa Kukidhi haja ya
hifadhi
Kassim Husssein, PhD
kassimhussein2002@yahoo.com
0754360174
2. Madhumui
v Muktadha wa utawala bora
v Ukuwaji na yahusuyo
v Changamoto ya Kukidhi haja ya hifadhi
v Maeneo ya kipaumbele
v Majumuisho
3. Utawala Bora wa
Taasisi
• The OECD -unahusu mahusiano
kati menejimenti, bodi na wadau…..
Inaweka utaratibu wa kupanga
malengo, namna ya kuyafikia na
njia kuyafuatilia na kutathmini
ufanisi wa menejmenti katika
kuyafikia
4. Uhusiano
Wa muda mrefu
• Udhibiti
• V i v u t i o n a
marupurupu
• Mawasilaino kati
ya ya wanedhejai
na wadau
Miamala
• Uwazi
• Utoaji
taarifa
• mamlaka.
5. Hali ya mifuko
• Imekidhi haja ya awali
• Imeendeshwa katika misingi
mizuri ya utawala.. Uhusiano
unaridhisha
• Haja ya wadau… ubora wa
mafao?
• Upanuzi wa wigo?
11. kukuwa kwa
idadi
Sensa ya 2012
• Idadi ya wa TZ.. Million 45
• Kiasi 27 wana uwezo wa
kuchangia
• Kiasi cha million 25 wako
katika sekta inayo jiajiri au
isiyo rasmi
15. 11 | 15
Hifadhi
• Udugu wa kifamilia…. Inafifia – Uwezo
mdogo
• Mfuko wa Majanga… hauna fedha
• Uwezo wa Serikali katika maafa ni
endelevu?
• Uwiano siyo sawaia : Ukuwaji wa idadi;
ukuwaji wa ajira; ukuwaji wa sekata isiyo
rasmi
• Ukuwaji wa wanachama katika mifuko ya
hifadhi
16. 11 | 16
• Mahitaji ya wadau ni kuingia kwenye
hifadhi
• Wadau ni pamoja na walio nje ya
mfuko… serikali na jamii kwa ujumla
• Wadau wamepanua uwigo
Ukuwaji ni suala la
utawala bora?
18. Mkakati wa nyanja
mbili
• Pendekezo 202
• Ghorofa za hifadhi za msingi .
Mkakati wa upana…. Kuongeza
watu
• Kupanda ghorofa ya juu…
kuongeza kina kwa kuongeza
aina na ubora wa mafao
20. Idadi iongezwe !!
• Mikakati ya kufikia sekata iliyojiajiri…
sekata isyo rasmi.
• Changamoto za kuifikia kwa mfumo
wa sasa
• Mikakati ya kuifikia sekta iliyojiajiri,
wakulima na wote wanaojumuishwa
kuwa si rasmi
21. Masuala ya jinsia
• Katika hifadhi ushiriki wa
wanawake
• Kuengiliwa katika ajira rasmi
• Kuwafikia katika ajira binafsi
22. Wazee
• Ni wachache… zaidi wako
vijijini
• Gharama yao sio kubwa…
• Kumudu Social pension kwa
kundi hili?
24. Jumuisho
• Utawala bora wa kuridhisha
• Changamoto ni kuongeza idadi
nje ya waajiriwa
• Idaidi ya waajiriwa haiongezeki
kulingana na ongezeko la idadi ya
wanostahiki
25. Jumuisho
• Uwezo wa Mfuko wa majanga..
Uwezo wake kuhusu hifadhi.
• Kilio juu ya wanawake
• Kadhia ya wazee na uwezi wa
kuwapa pension …. Tunaweza
kuimudu?