Muziki wa Afrika umekua ukikua kwa kasi kubwa na kusambaa zaidi na zaidi. Kushirikiana kwa wasanii kumesaidi kuwafanya wasanii wengi kufikia level za kimataifa. Moja ya platform muhimu sana ambazo zasaidia kukuza muziki ni tovuti mbalimbali. Hii inatokana na mabadiliko ya kitekinojia . Wasikiliza wengi wa muziki wanatumia simu zao za mikononi kusikiliza muziki kwa zaidi ya asilimia 70 % ya muda wa utumiaji. Moja ya tovuti zenye kuhakikisha zaleta burudani hii kwa wasikizaji ni http://kitangoma.com . Tovuti hii imejaribu kukusanya muziki wa Kitanzania na kuuweka katika kapu moja, ni wewe kuchagua limbo upa uusikilize . Kuanzia enzi za Mwalimu mpaka muziki wa Bongo Flava. http://kitangoma.com ni tovuti pekee unayoweza pata nyimbo za makabila mbalimbali. Furahia muziki popote ulipo ukiwa na http://kitangoma.com