2. TANZANIA MINING FORUM(TAMFO)
KILOMITA ZA MRABA ZA TANZANIA NI 947,303
ASILIMIA 6.4 IMEZUNGUKWA NA MAJI
ZIWA TANGANYIKA LIKIWA LINASHIKA NAFASI YA PILI KWA KINA
KIREFU DUNIANI
ZIWA VIKTORIA LIKIWA ZIWA KUBWA LA MAJI BARIDI BARANI AFRIKA
AINA 10,000 ZA MITI NA KATIKA HIZO AINA 250 ZA MITI ZIKIWA ZIPO
KATIKA HATIHATI YA KUPOTEA
IDADI YA WATU TANZANIA NI TAKRIBANI WATU MILIONI 60 ILA
TUNASUBIRI SENSA YA MWAKA 2022 KUPATA MAJIBU KAMILI
3. MALIASILI
TANZANIA INA GESI ASILIA KUSINI MWA TANZANIA
TANZANIA INA MADINI YA VIWANDANI KWA KIASI KIKUBWA
TANZANIA INA MADINI YA NISHATI KWA KIWANGO KIKUBWA
TANZANIA INA MADINI ADIMU KWA KIASI KIKUBWA
TANZANIA INAZALISHA DHAHABU KWA TAKWIMU YA MWAKA 2021 NI
TANI 50 ZILIZALISHWA KWA MWAKA HUO
TANZANIA INA MADINI YA GEMSTONES
TANZANIA NI NCHI YA 7 KWA KUZALISHA KIWANGO KIKUBWA CHA
DIAMOND HUKU ASILIMIA 70 YAKE NI ILE YA VITO
JEE TUNAISHIA HAPA?
4. MALIASILI
MADINI YA VIWANDANI
LIMESTONE CaCO3 (maalumu kwa uzalishaji wa clinker kwa ajili ya
cement, Rwanda bei ya mfuko kilo 50 ni tsh 18,330 na Tanzania ni 17,000
mpaka june 22)
SODA ASH - Na2CO3 (matumizi yake ni zaidi ya 10 au 20 na bidhaa zake
tunazihitaji kila siku, tunaagiza Botswana (BOTASH)na China.
FELDSPAR - K(AlSi3O8), Na(AlSi3O8) Turkiye inazalisha tani 6.5 million
kwa mwaka, Egypt tani 360k, (KUTAHYA)
KAOLIN Al2O3 2SiO2.2H2O
GRAPHITE ni Alloy ya carbon na inajulikana kama game changer
kutokana na mahitaji yake kwa kushirikiana na Lithium, Nickel na Cobalt
5. MALIASILI
GYPSUM NA QUARTZ?
Madini ya kiwandani yenye matumizi mengi, spain mwaka 2018 iliingiza zaid
ya dola million 284 kwa biashara ya gypsum Afrika magharibi.
Quartz ni silicon dioxide
0.0 20.0 40.0 60.0 80.0
CHINA
TURKEY
INDIA
SPAIN
BRAZIL
MAREKANI
GERMANY
ITALY
CANADA
EGYPT
DOLA MILIONI
NCHI
NCHI WAUZAJI WA QUARTZ
0.0% 2.0% 4.0% 6.0% 8.0% 10.0% 12.0%
Norway
China
Japan
Marekani
Korea kusini
malaysia
Ufaransa
Ujerumani
Urusi
India
asilimia ya Quartz yote duniani
WAAGIZAJI WAKUBWA
6. MALIASILI
RARE EARTH METALS (Neodymium Praseodymium NdPr, Ngualla
project Mbeya. 4.8% high grade low cost. (Teeside UK)
Chuma (Australia na Brazil zinaongoza kwa kuwa na reserve nyingi Zaidi
ya tani billion 51 ore. Turkey ya 14 ina tani million 130 ya reserve.
Tanzania? Australia anaongoza uzalishaji kwa kuchimba tani million 900
kwa mwaka 2020)
7. MALIASILI
MADINI YA NISHATI
URANIUM (unaweza kupata nishati ya nyuklia kutokana na madini haya
ya Uranium 235 na uranium 238) wazalishaji wakubwa ni Kazakhstan.
Coal (Tanzania ina jumla ya tani 1.9 billion tons za makaa ya mawe.
Mahitaji yetu kwa mwaka ni tani laki 3 na 60 ila Coal ni chanzo cha nishati
duniani kote)
8. MALIASILI
DHAHABU (Altin , AU) mahitaji ya dhahabu TZ ni tani ngapi kwa mwaka?
Madini ya vito na vidani. (Quartz, Tanzanite, Rubi, Saphire na mengine
mengi.)