7. DIRA NA MAADILI YETU
LIFT inalenga kuwa shirika suna za Mtume Mohamad (S.
W. A) sikivu, wazi, na ambalo hutoa kwa wakati na
kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya, elimu,
chakula na maji kwa waislamu wote, wanaoishi ndani ya
mkoa wa Lindi-Tanzania. LIFT inaamini kuwa kila
wafadhili wachangiaji na mchangiaji lazima aheshimiwe,
na wote ni wenye thamani kwa kila mmoja. LIFT
itazingatia viwango vya juu vya maadili ya quran na
8. MALENGO YETU
1. Kutoa msaada wa dharura wa chakula kwa wazee, walemavu, na wengine wanaoishi
katika mazingira magumu ambao ni wakazi wa mkoa wa Lindi.
2. Kusaidia jamii katika kuanzisha huduma za afya stahili na salama.
3. Kuwasaidia watoto kupata elimu bora za dini ya kiislamu na kidunia
4. Kusaidia jamii katika kupata maji ya bomba na endelevu
5. Kusaidia jamii katika kujenga miundombinu na kuboresha usafi.
6. Kukuza mazoea ya usafi salama
7. Kuchangia kwenye taasisi za kiislamu, misikiti kwa ajili ya elimu ya kiislamu, misingi ya
Quran, suna na hadithi halisi.
10. WAJIBU WA MJUMBE WA KAMATI
Kuhudhuria vikao vya kamati .
Kujitolea angalau masaa 4 kwa mwezi kwa ajili ya shughuli za LIFT.
Kusaidiana na mwenyekiti na katibu kwenye utekelezaji wa majukumu yao.
Kusimamia utekelezaji wa agizo lolote linalokuwa limetolewa na mwenyekiti
wa kamati.
Kupitia taarifa zozote zinazohusiana na mikutano ya kamati.
Kuandaa kuchangia na kuzungumzia mambo yote yanayohusu malengo ya
kamati kenye kikao.
Kupiga kura inapobidi jambo lolote linalohusu kamati.
Kufuata sera za LIFT.
11. WAJIBU WA MWENYEKITI
Mwenyekiti atakuwa Meneja wa kamati.
Atawajibika kupanga ratiba za mkutano.
Atawajibika kupanga ukumbi wa mikutano.
Ataandaa na kugawa ajenda kwa wajumbe kabla ya mkutano .
Atatakiwa kuhakikisha kwamba mihutasari ya vikao inanakiliwa na kufikishwa
ofisini ndani ya wiki moja baada ya mkutano .
Atawajibika kutolea taarifa juu ya maendeleo yeyote ya mradi uliopo kwenye
kamati yake au kutolea maagizo juu ya kamati yake.
Atawajibika kupanga malengo ya kamati.
Mwenyekiti anaweza kumpa mjumbe yeyote jukumu lake lakini ahakikishe kwamba anafanya
ufuatiliaji.
12. MUUNDO WA ZAMANI WA UONGOZI
Board of Directors
Management Team
Adminstration
Manager: Juma M. Idd
Juma M. Idd (Acting Financial Controller)
Dr. Nur (Acting Bookkeeper)
Asha Hamisi Kindeka (Office Reception)
Health & Sanitation
Co-Chairs:
Dr. Zulfa Msami
Ismail Mbani
Education
Chair:
Ally Seif
Co Deputy Chairs:
Abdallah Mtangarah
Hassan Ahmad Alombile
Dawah
Chair:
Qassim Njonjoro
14. LIFT BODI YA WADHAMINI
LIFT imeanzisha Bodi ya wadhamini inayohusisha watu wa4 ambao
hushughulikia masuala yote ya mali za LIFT vinavyohamishika na
visivyohamishika mfano Ardhi.
Wanachama wa BODY OF TRUSTEES ni
a) SHEIKH MOHAMMED MUSHANGANI
b) ABDALLAH MAULID NAMKOLWA
c) MARIAM ALLY MANDUNDA
d) ALI ISMAIL NALAGA
16. MAFUNZO YA KAMATI
Lindi Islamic Foundation of Tanzania
Uzingatiaji wa mda na upangaji wa vifaa.
Msingi wa uhamasishaji na usimamizi wa vifaa.
Kufuatilia na kusimamia bajeti ya kamati.
Wazo lipi ni muhimu na nini kijumuishwe
Nini maana ya pendekezo la mradi? Na mambo yapi ya
kujumuishwa.
Faida ya kutoa ripoti, kusimamia na kufanya tathimini, Nini
maana yake?
18. TAARIFA YA KAMATI
Malengo ya kamati.
Shughuli zilizopata fedha na kufanyika .
Shughuli zipi au malengo ambayo hayajapata fedha na
kufanyika.
Changamoto.
Mahitaji yanayohitajika ili kutimiza malengo.
21. KAMATI YA ELIMU
Kamati ya elimu ni moja kati ya kamati za LIFT yenye
jukumu la kubuni, kutekeleza, kufuatilia na kufanya tathmini
ya miradi inaweza kuinua kiwango cha Elimu.
22. MALENGO YA KAMATI YA ELIMU
Kufanya tathmini ya mahitaji ya shule za serikali na za kiislamu
Kusaidia kamati ya Daawa katika kutangaza elimu ya kiislamu
Kusaidia kamati ya afya katika vijarida vitakavyohamasisha kuwa na afya njema
23. MRADI WA KAMATI 2015
1) UJENZI WA KITUO CHA ELIMU YA WATOTO WADOGO MCHINGA 1
24. KITUO CHA ELIMU YA WATOTO WADOGO MCHINGA 1
Kwa mwaka 2015 kamati ya Elimu ya LIFT ilijiwekea kipaumbele cha
kusimamia mradi wa ujenzi wa kituo cha elimu kwa ajili ya watoto
wadogo huko Mchinga I
Kituo hicho kinakusudia kuwalea watoto wadogo wapatao 5O (kwa
kuanzia) kutoka katika eneo la Mchinga na maeneo ya karibu
25. MALENGO YA KITUO CHA MCHINGA
Kuwalea watoto katika malezi ya kiislamu
Kuwapatia ajira wakazi wa lindi
Kuwa na kituo cha kuhifadhisha quran tukufu
26. MALENGO……
Kuwaandaa watoto kwa ajli ya elimu ya msingi na Sekondari
Kuwa na kituo kwa ajili ya masomo ya ziada ya wanafunzi wa
msingi na sekondari
27. HATUA ZA KUKAMILIKA KWA MRADI
Kushughulikia upatikanaji wa ardhi
Kuimiliki ardhi kisheria
Kuunda TASK FORCE kwa ajili ya kusimamia uanzishwaji wa Mradi
28. KAZI /SHUGHULI ZILIZOFANYIKA
1) KUUNDA KAMATI YA WANAJAMII
Kwa kuwa mradi ni wa kijamii lift iliunda kamati ya wanajamii kutoka
katika maeneo mbalimbali ya Mchinga. Kila msikiti ulitoa wajumbe
wawili na idadi ya wajumbe ikiwa kumi. Kamati hii inashirikiana na
kamati ya elimu katika kuratibu mradi wa shule ya Mchinga 1
29. 2) KUSAFISHA PORI
Kamati ya elimu kwa kushirikiana na kamati ya jamii
zilihamasisha waislamu wa mchinga kusafisha pori
ambapo LIFT inatarajia kujenga shule ya watoto
30.
31.
32.
33.
34.
35.
36.
37. 3) KUMILIKI ARDHI KISHERIA
LIFT imefanikiwa kupata hati za umilikiwa ardhi ya eneo ambalo
tunataka kujenga shule.
Bado sharia za kuhalalisha ardhi na shughuli zitakazofanyika katika
eneo hilo zinaendelea.
38. 4) KUAJIRI MTAALAMU WA MRADI
Kutokana na ukubwa wa mradi lift ililazimika kuajiri mtaalamu wa
miradi ya kijamii ili kusimamia kazi ya mradi wa ujenzi wa kituo cha
elimu cha mchinga.
Dada NURU ALLY mhitimu wa chuo kikuu cha SUA Morogoro fani
ya maendeleo ya vijijini ndio mtaalamu na msimamizi wa miradi ya
lift ikiwemo huu wa mchinga
59. KAMATI YA AFYA NA MAZINGIRA
WAJUMBE WA KAMATI
1. DR ZULFA MSAMI MW/KIT
2. MR ISMAIL MBBANI MW/KITI MWENZA
3. DR HAMISI AJALI –KATIBU
4. MR MSWALA –MJUMBE
5. MR MAKOLELA –MJUMBE
6. BI SIWEMA SINANI-MJUMBE
7. BI RAYA - MJUMBE
60. MALENGO YA KAMATI
Katika kipindi cha mwaka 2014/15 kamati ilikua na
malengo ya kuchunguza wanawake 300 saratani ya shingo
ya kizazi.
Kufanya ufuatiliaji wa wanawake walio chunguzwa na
kukutwa na matatizo.
61. MAFANIKIO YA KAMATI
Kamati iliweza kuandaa na kuanisha maeneo ya wanawake
wajiandikishe ili wafanyiwe uchunguzi wa saratani ya shingo ya
kizazi katika kipindi cha miezi mitatu 9oct – dec 2014)maeneo
hayo ambayo ni
Kitomanga,Mchinga,Kilangala,Mvuleni,Mipingo,Namkongo,Kingulu
ngudwa na Kilolabwani.
Jumla ya wanawake 273 walijiandikisha.
Januari 2015 kamati ikishirikiana na shirika lisilo la serikali
STAPPING TOGETHER lililopo marekani tulifanya uchunguzi wa
saratani ya chingo ya kizazi kwa wanawake 220 kati ya 224
waliosajiliwa,wanawake 2 walikutwa na dalili za awali za saratani na
wengine 35 walichukuliwa vipimo kwa uchunguzi zaidi.
62. MAFANIKIO YANAEND……….
Wanawake 2 walionekana kuwa wanasaratani ya shingo ya kizazi. Kati yao 1
Walipata matibabu na mmoja alifariki.
Mwezi wa nane 2015 kamati ilipanga muda wa kufuatilia wale
waliochunguzwa mwezi januari
Sambamba na ufuatiliaji kamati ilishiriki katika maonyesho ya NANE NANE
Ngongo katika kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi. Jumla ya wanawake
104 walichunguzwa na wanawake 17 kati ya 20 walikuwa wanafutiliwa kutoka
uchunguzi wa januari nao pia walichunguzwa.
Kamati imeweza kushiriki kikamilifu katika siku ya usafi ya kitaifa katika
maazimisho ya siku ya uhuru 9 desemba 2015 kwa kununua vifaa vya usafi.
63. MATARAJIO
Kamati inatarajia kuchunguza jamii ya lindi afya ya kinywa na meno ifikapo
2016 sasa ipo kwenye maandalizi ya eneo na wataalam.
64. CHANGAMOTO
Kukosekana kwa mawasiliano kwa baadhi ya wanawake ambao walichunguzwa
ili wapate majibu yao ya uchunguzi wa wasaratani ya shingo ya kizazi.
Ufinyu wa bajeti kwa Taasisi
Wajumbe wa kamati kuwa na majukumu mengine nje ya taasisi.
82. DR. HAMIS AJALI (LIFT) DR. KENYA NUMAN (STEPPING TOGETHER), AND
TRAINEE VERA (KITOMANGA) DISCUSS TREATMENT OPTIONS WITH PATIENT.
83. THE LIFT MEN BEHIND THE SUCCESS, ALL ARE MEMBERS OF LIFT HEALTH &
SANITATION COMMITTEE. THEY MADE SURE SUPPLIES AND PATIENTS WERE
TRANSPORTED, PATIENTS WERE REFERRED, PATIENTS WERE FED AND MUCH MORE.
86. GRANDMOTHER WITH HER ORPHANED GRANDSON ARRIVE FROM MTAPWA
ON MOTORCYCLE. SHE WAS FAMILIAR TO US AS LIFT PROVIDED INFANT
FORMULA MILK FOR THE BABY FOR ONE YEAR.
236. 2015 CASH-FLOW (TSH) AS OF DECEMBER 1, 2015
2014 Carry-Over 7,244,557
Petty Cash 12,000
2015 Donations 29,871,330.65
Total Revenue 37,127,887.65
YTD 2015 Expenditures
Bank Charges 191,000
Disbursements: 15,269,015.65
Total Expenditures 15,460,015.65
Cash on hand 21, 667,872