SlideShare una empresa de Scribd logo
1 de 7
Descargar para leer sin conexión
LAHAJA ZA KISWAHILI
KWA UJUMLA
Wilson S. Pastory
8/7/2016
Matini hii imedhamiria kutoa uelewa wa jumla kuhusu lahaja za Kiswahili. Hii itasaidia kupunguza
mkanganyiko ambao umekuwepo kwa muda mrefu kuhusu dhana ya lahaja za kiswahili .
wilsonpastory@gmail.com
+255 769 526 281
2
LAHAJA ZA KISWAHILI KWA UJUMLA
Lahaja ni dhana changamani na hivyo ili iweze kueleweka vizuri hatuna budi kuchunguza vigezo
vikuu vitatu vinavyotumiwa na wataalamu mbalimbali katika kuelezea maana ya dhana hii.
Vigezo hivyo ni:
o Kigezo cha Isimu jamii
o Kigezo cha Kiisimu
o Kigezo cha Utengamano wa Kijiografia
Kigezo cha Isimu Jamii
Katika kigezo hiki mtafiti huwashirikisha wanajamii au wazungumzaji wa lahaja hiyo ili kupata
msimamo wao kuhusu lahaja husika. Hivyo kupitia mawazo na msimamo wa wazungumzaji au
wanajamii wa lahaja husika, mtafiti wa lugha huweza kuja na hitimisho lake kuhusu dhana ya
lahaja.
Kigezo cha Kiisimu
Hiki ni kigezo cha kutofautisha lugha na lahaja nyingine kwa kutumia vigezo vya msamiati wa
msingi, fonolojia, pamoja na mofolojia. Hapa mtafiti wa lugha huchunguza jinsi maneno
yanavyoundwa, tamkwa na jinsi yanavyofanana katika msamiati wake wa msingi.
Kigezo cha Utengano wa Kijiografia
Kigezo hiki hutazama lahaja Fulani inazungumzwa mahali Fulani na huzungumzwa na watu wa
kundi fulani. Mfano lahaja ya kitumbatu huzungumzwa sehemu ya kisiwa cha Tumbatu, vivyo
wilsonpastory@gmail.com
+255 769 526 281
3
hivyo lahaja ya kipemba huzungumzwa na watu wa pemba. Kwakifupi, mtafiti wa lugha hutumia
kigezo cha mahali lahaja fulani inapotumika kuelezea dhana ya lahaja husika.
Kutokana na vigezo vitatu tulivyoviona, kumeweza kushuhudiwa fasili mbalimbali za lahaja,
zifuatazo ni baadhi tu ya fasili za lahaja kama zinavyotolewa na Msanjila (2009) na Massamba
(2002).
Msanjila (2009) anasema kuwa Lahaja ni lugha mojawapo kati ya lugha ambazo kimsingi
uhesabiwa kuwa ni lugha moja isipokuwa zinatofautiana katika baadhi ya vipengele fulani fulani
kama vile lafudhi, fonolojia, msamiati usiokuwa wa msingi au muundo kutokana na eneo lugha
hiyo inapozungumzwa.
Massamba (2002) anasema kuwa Lahaja ni lugha mbalimbali za pwani zilizokuwa na uhusiano
wa karibu sana. Lugha hizo kama vile Kiamu, Kimvita, Kijomvu, Kimtang’ata, Kimakunduchi,
Kitumbatu, Kimgao, Kiunguja, na Ci-mbalazi.
Kwaujumla tunaweza kusema kuwa, Lahaja ni vilugha vidogo vidogo vya lugha moja ambavyo
hubainika kijamii au kijiografia. Au Lahaja ni lugha mojawapo kati ya lugha ambazo kimsingi
uhesabiwa kuwa ni lugha moja isipokuwa zinatofautiana katika baadhi ya vipengele fulani fulani
kama vile lafudhi, fonolojia, msamiati usiokuwa wa msingi au muundo kutokana na eneo lugha
hiyo inamozungumzwa.
IDADI YA LAHAJA ZA KISWAHILI NA JINSI ZILIVYOINUKA
Ilikubaini idadi kamili ya lahaja za Kiswahili, tafiti mbalimbali zimeweza kufanywa, na katika
tafiti hizo kila wataalamu walikuja na idadi tofauti na wataalamu wengine na ivyo kuleta utata
juu ya idadi kamili ya lahaja za Kiswahili. Hata hivyo utafiti wao kwa ujumla umeonesha kuwa
wilsonpastory@gmail.com
+255 769 526 281
4
idadi ya lahaja za Kiswahili hulenga kati ya 13 hadi 20. Baadhi ya wataalamu hao ni: Dalby
(1977) aliyepata lahaja 17, Heine (1970) aliyepata lahaja 16, Polome (1967) aliyepata lahaja 17,
Bryan (1959) aliyepata lahaja 18, Stigand (1915) aliyepata lahaja 13, na Chiraghdin (1977)
aliyepata lahaja 20.
Kwakuwa Chiraghdin(1977) ndiye anayeonekana kupata lahaja nyingi zaidi ya Wataalamu
wengine, si vibaya tukiangalia lahaja anazozitaja yeye. Lahaja zilizotajwa na Chiraghdini ni:
 Kiunguja
 Kimrima
 Kimgao
 Kimvita
 Kihadimu
 Kipemba
 Kirumba
 Kiamu
 Kipate
 Kisiu
 Kitikuu
 Kingazija
 Kingozi
 Kitumbatu
 Kimtang’ata
 Chichifundi
 Chibalanzi
wilsonpastory@gmail.com
+255 769 526 281
5
 Kingwana
 Kinyare
 Kijomvu.
MGAWANYO WA LAHAJA KIKANDA AU KIMAENEO
Tunaweza kuzigawa lahaja za Kiswahili katika makundi makuu manne (4) kama ifuatavyo:
Lahaja za kaskazini
Hizi ziko katika mwambao wa Somalia na Kenya. Kundi hili hujumuisha lahaja ndogondogo
kama vile:
i. Kiamu
ii. Kitukuu
iii. Kipate
iv. Kingozi
v. Kisiu
vi. Chimbalazi/Chimini
Lahaja za kusini
Hizi ziko pemba, Unguja na Comoro. Kundi hili hujumuisha lahaja ndogondogo kama vile:
i. Kiunguja
ii. Kihadimu
iii. Kipemba
iv. Kingazija
wilsonpastory@gmail.com
+255 769 526 281
6
v. Kitumbatu
Lahaja za katikati
Hizi ni lahaja ambazo hupatikana katika eneo la katikati. Kundi hili hujumuisha lahaja kama
vile:
i. Kivumba
ii. Kimtang’ata
iii. Kimrima
iv. Kimvita
v. Kingao (Kimgao)
Lahaja za Bara
Kundi hili la halaja hujumuisha lahaja za Kiungwana (Zaire) na misemo ya Wageni kama vile
Wazungu na Wahindi.
MAMBO YANAYOSABABISHA LAHAJA KUTOKEA AU CHANZO CHA LAHAJA
Lahaja nyingi zimeenea au zimetokea kutokana na mambo mbalimbali, baadhi ya mambo hayo
ni kama yafuatayo:
Umbali wa Kijiografia
Umbali wa Kijiografia kutoka eneo moja kwenda eneo jingine huweza kusababisha hutokeaji wa
lahaja.
Kutawanyika kwa watu
Kitendo cha watu kuhama hama huweza kusababisha kutokea kwa lahaja.
wilsonpastory@gmail.com
+255 769 526 281
7
Kuingiliana na kuoana kwa watu
Kitendo cha watu kuingiliana na kuoana huweza kuchangia hutokeaji wa lahaja, mwingiliano wa
tamaduni tofauti.
Biashara mbalimbali
Biashara mbalimbali pia zimechangia kutokea kwa lahaja, katika biashara mbalimbali baadhi ya
lahaja zimeweza kutokea.
Suala la dini
Suala la dini hususani dini ya Kiislamu limeweza kujangia hutokeaji wa lahaja.
Suala la Elimu na Siasa
Suala la Elimu na Siasa husababisha matabaka ya watu katika jamii, hivyo kutokana na
matabaka haya baadhi ya lahaja huweza kutokea.

Más contenido relacionado

La actualidad más candente

La actualidad más candente (20)

Uhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simuliziUhifadhi wa fasihi simulizi
Uhifadhi wa fasihi simulizi
 
UTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHAUTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHA
 
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)Sarufi Matamshi (Fonolojia)
Sarufi Matamshi (Fonolojia)
 
Utungaji wa kazi za fasihi
Utungaji  wa kazi za fasihiUtungaji  wa kazi za fasihi
Utungaji wa kazi za fasihi
 
Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?Tamthilia ni nini?
Tamthilia ni nini?
 
Mofolojia
MofolojiaMofolojia
Mofolojia
 
Maendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahiliMaendeleo ya kiswahili
Maendeleo ya kiswahili
 
CHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHICHIMBUKO LA FASIHI
CHIMBUKO LA FASIHI
 
MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI
MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZIMAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI
MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI
 
Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
 
Rejesta
RejestaRejesta
Rejesta
 
Ufahamu na ufupisho
Ufahamu na ufupishoUfahamu na ufupisho
Ufahamu na ufupisho
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
FASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLAFASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLA
 
USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
 
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za FasihiUhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
Uhuru wa Mtunzi wa Kazi za Fasihi
 
Tafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimaniTafsiri na ukalimani
Tafsiri na ukalimani
 
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha KimuktadhaMatumizi ya Lugha Kimuktadha
Matumizi ya Lugha Kimuktadha
 
Waingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuruWaingereza na baada ya uhuru
Waingereza na baada ya uhuru
 
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHAUHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
UHAKIKI WA TAMTHILIYA - ORODHA
 

Destacado

Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahili
Geophery sanga
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Hamad Khamis Juma
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Mwl. Mapesa Nestory
 
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
elimutanzania
 
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALIMAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
Kaka Sule
 

Destacado (20)

Semantiki
SemantikiSemantiki
Semantiki
 
Mofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahiliMofolojia ya kiswahili
Mofolojia ya kiswahili
 
Maana ya maana!
Maana ya maana!Maana ya maana!
Maana ya maana!
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
 
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHAUHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
UHAKIKI WA RIWAYA - USIKU UTAKAPOKWISHA
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
 
UTAFITI WA KIELIMU
UTAFITI  WA KIELIMUUTAFITI  WA KIELIMU
UTAFITI WA KIELIMU
 
Understanding translation and interpretation
Understanding translation and interpretationUnderstanding translation and interpretation
Understanding translation and interpretation
 
Zumm A4 Leaflet - Swahili
Zumm A4 Leaflet - SwahiliZumm A4 Leaflet - Swahili
Zumm A4 Leaflet - Swahili
 
JEDWALI LA KUTAHINI
JEDWALI LA KUTAHINIJEDWALI LA KUTAHINI
JEDWALI LA KUTAHINI
 
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
 
Survey questionaire instrument kiswahili
Survey questionaire instrument kiswahiliSurvey questionaire instrument kiswahili
Survey questionaire instrument kiswahili
 
Jipime Sayansi Darasa la Sita
Jipime Sayansi Darasa la SitaJipime Sayansi Darasa la Sita
Jipime Sayansi Darasa la Sita
 
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALIMAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
 
Dissertation report
Dissertation reportDissertation report
Dissertation report
 
Projectile Motion
Projectile MotionProjectile Motion
Projectile Motion
 
ABC Of Project Management
ABC Of Project ManagementABC Of Project Management
ABC Of Project Management
 
Equilibrium
EquilibriumEquilibrium
Equilibrium
 
Work power energy
Work power energyWork power energy
Work power energy
 
Chapter no. 6 linear mo
Chapter no. 6 linear moChapter no. 6 linear mo
Chapter no. 6 linear mo
 

Lahaja za kiswahili kwa ujumla

  • 1. LAHAJA ZA KISWAHILI KWA UJUMLA Wilson S. Pastory 8/7/2016 Matini hii imedhamiria kutoa uelewa wa jumla kuhusu lahaja za Kiswahili. Hii itasaidia kupunguza mkanganyiko ambao umekuwepo kwa muda mrefu kuhusu dhana ya lahaja za kiswahili .
  • 2. wilsonpastory@gmail.com +255 769 526 281 2 LAHAJA ZA KISWAHILI KWA UJUMLA Lahaja ni dhana changamani na hivyo ili iweze kueleweka vizuri hatuna budi kuchunguza vigezo vikuu vitatu vinavyotumiwa na wataalamu mbalimbali katika kuelezea maana ya dhana hii. Vigezo hivyo ni: o Kigezo cha Isimu jamii o Kigezo cha Kiisimu o Kigezo cha Utengamano wa Kijiografia Kigezo cha Isimu Jamii Katika kigezo hiki mtafiti huwashirikisha wanajamii au wazungumzaji wa lahaja hiyo ili kupata msimamo wao kuhusu lahaja husika. Hivyo kupitia mawazo na msimamo wa wazungumzaji au wanajamii wa lahaja husika, mtafiti wa lugha huweza kuja na hitimisho lake kuhusu dhana ya lahaja. Kigezo cha Kiisimu Hiki ni kigezo cha kutofautisha lugha na lahaja nyingine kwa kutumia vigezo vya msamiati wa msingi, fonolojia, pamoja na mofolojia. Hapa mtafiti wa lugha huchunguza jinsi maneno yanavyoundwa, tamkwa na jinsi yanavyofanana katika msamiati wake wa msingi. Kigezo cha Utengano wa Kijiografia Kigezo hiki hutazama lahaja Fulani inazungumzwa mahali Fulani na huzungumzwa na watu wa kundi fulani. Mfano lahaja ya kitumbatu huzungumzwa sehemu ya kisiwa cha Tumbatu, vivyo
  • 3. wilsonpastory@gmail.com +255 769 526 281 3 hivyo lahaja ya kipemba huzungumzwa na watu wa pemba. Kwakifupi, mtafiti wa lugha hutumia kigezo cha mahali lahaja fulani inapotumika kuelezea dhana ya lahaja husika. Kutokana na vigezo vitatu tulivyoviona, kumeweza kushuhudiwa fasili mbalimbali za lahaja, zifuatazo ni baadhi tu ya fasili za lahaja kama zinavyotolewa na Msanjila (2009) na Massamba (2002). Msanjila (2009) anasema kuwa Lahaja ni lugha mojawapo kati ya lugha ambazo kimsingi uhesabiwa kuwa ni lugha moja isipokuwa zinatofautiana katika baadhi ya vipengele fulani fulani kama vile lafudhi, fonolojia, msamiati usiokuwa wa msingi au muundo kutokana na eneo lugha hiyo inapozungumzwa. Massamba (2002) anasema kuwa Lahaja ni lugha mbalimbali za pwani zilizokuwa na uhusiano wa karibu sana. Lugha hizo kama vile Kiamu, Kimvita, Kijomvu, Kimtang’ata, Kimakunduchi, Kitumbatu, Kimgao, Kiunguja, na Ci-mbalazi. Kwaujumla tunaweza kusema kuwa, Lahaja ni vilugha vidogo vidogo vya lugha moja ambavyo hubainika kijamii au kijiografia. Au Lahaja ni lugha mojawapo kati ya lugha ambazo kimsingi uhesabiwa kuwa ni lugha moja isipokuwa zinatofautiana katika baadhi ya vipengele fulani fulani kama vile lafudhi, fonolojia, msamiati usiokuwa wa msingi au muundo kutokana na eneo lugha hiyo inamozungumzwa. IDADI YA LAHAJA ZA KISWAHILI NA JINSI ZILIVYOINUKA Ilikubaini idadi kamili ya lahaja za Kiswahili, tafiti mbalimbali zimeweza kufanywa, na katika tafiti hizo kila wataalamu walikuja na idadi tofauti na wataalamu wengine na ivyo kuleta utata juu ya idadi kamili ya lahaja za Kiswahili. Hata hivyo utafiti wao kwa ujumla umeonesha kuwa
  • 4. wilsonpastory@gmail.com +255 769 526 281 4 idadi ya lahaja za Kiswahili hulenga kati ya 13 hadi 20. Baadhi ya wataalamu hao ni: Dalby (1977) aliyepata lahaja 17, Heine (1970) aliyepata lahaja 16, Polome (1967) aliyepata lahaja 17, Bryan (1959) aliyepata lahaja 18, Stigand (1915) aliyepata lahaja 13, na Chiraghdin (1977) aliyepata lahaja 20. Kwakuwa Chiraghdin(1977) ndiye anayeonekana kupata lahaja nyingi zaidi ya Wataalamu wengine, si vibaya tukiangalia lahaja anazozitaja yeye. Lahaja zilizotajwa na Chiraghdini ni:  Kiunguja  Kimrima  Kimgao  Kimvita  Kihadimu  Kipemba  Kirumba  Kiamu  Kipate  Kisiu  Kitikuu  Kingazija  Kingozi  Kitumbatu  Kimtang’ata  Chichifundi  Chibalanzi
  • 5. wilsonpastory@gmail.com +255 769 526 281 5  Kingwana  Kinyare  Kijomvu. MGAWANYO WA LAHAJA KIKANDA AU KIMAENEO Tunaweza kuzigawa lahaja za Kiswahili katika makundi makuu manne (4) kama ifuatavyo: Lahaja za kaskazini Hizi ziko katika mwambao wa Somalia na Kenya. Kundi hili hujumuisha lahaja ndogondogo kama vile: i. Kiamu ii. Kitukuu iii. Kipate iv. Kingozi v. Kisiu vi. Chimbalazi/Chimini Lahaja za kusini Hizi ziko pemba, Unguja na Comoro. Kundi hili hujumuisha lahaja ndogondogo kama vile: i. Kiunguja ii. Kihadimu iii. Kipemba iv. Kingazija
  • 6. wilsonpastory@gmail.com +255 769 526 281 6 v. Kitumbatu Lahaja za katikati Hizi ni lahaja ambazo hupatikana katika eneo la katikati. Kundi hili hujumuisha lahaja kama vile: i. Kivumba ii. Kimtang’ata iii. Kimrima iv. Kimvita v. Kingao (Kimgao) Lahaja za Bara Kundi hili la halaja hujumuisha lahaja za Kiungwana (Zaire) na misemo ya Wageni kama vile Wazungu na Wahindi. MAMBO YANAYOSABABISHA LAHAJA KUTOKEA AU CHANZO CHA LAHAJA Lahaja nyingi zimeenea au zimetokea kutokana na mambo mbalimbali, baadhi ya mambo hayo ni kama yafuatayo: Umbali wa Kijiografia Umbali wa Kijiografia kutoka eneo moja kwenda eneo jingine huweza kusababisha hutokeaji wa lahaja. Kutawanyika kwa watu Kitendo cha watu kuhama hama huweza kusababisha kutokea kwa lahaja.
  • 7. wilsonpastory@gmail.com +255 769 526 281 7 Kuingiliana na kuoana kwa watu Kitendo cha watu kuingiliana na kuoana huweza kuchangia hutokeaji wa lahaja, mwingiliano wa tamaduni tofauti. Biashara mbalimbali Biashara mbalimbali pia zimechangia kutokea kwa lahaja, katika biashara mbalimbali baadhi ya lahaja zimeweza kutokea. Suala la dini Suala la dini hususani dini ya Kiislamu limeweza kujangia hutokeaji wa lahaja. Suala la Elimu na Siasa Suala la Elimu na Siasa husababisha matabaka ya watu katika jamii, hivyo kutokana na matabaka haya baadhi ya lahaja huweza kutokea.